HAYA NDIO MAZINGIRA WANAYOISHI WANAWAKE WALIOKIMBIA BONGO NA KWENDA ITALIA KUJIUZA , INASIKITISHA SANA..!





Hizi ni baadhi ya picha zinazo onyesha jinsi kina dada kutoka barani afrika wanavyo fanya biashara ya kuuza miili yao iliwaweze kujikimu kimaisha, kwani wengi wamekuwa wakienda uko kwajili ya mambo mbalimbali kama kusoma ama kufanya kazi lakini kutokana na ugumu wa maisha wanaokutana nao huko dada zetu huwamua kuingia katika biashara ya ukahaba ili waweze kujikimu.




TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini