Kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu,najiona natofautiana kimtazamo na wanawake wengi hapa duniani.
1. Wanawake wengi hawapendi kuadhibiwa na waume zao au wapenzi wao. Lakini mimi huwa napenda nikifanya kosa niadhibiwe. Nikisema kuadhibiwa simaanishi kupigwa hadi kudhalilishwa,No! namaanisha nikifanya kosa au ku behave tofauti mpenz wangu anigombeze na ikiwezekama kama nimemkasirisha sana hata anizabe kibao kimoja. Kwa kufanya hivi huwa nahisi ananipenda na ananijali.
2.Napenda sana mpenzi wangu awe "possesive towards me". Nikisema kuwa possessive toward me namaanisha mwanaume awe "ananimiliki".napenda mpenzi wangu anichukulie kama mimi ni mali yake, na si ya mtu mwingine.Kwahyo awe na authority na mimi, ajue nipo wapi? na nani? Nafanya nn?.Awe na wivu na mimi.Ila wanawake wengi, hulalamika kuwa wanafuatiliwa sana, kama mwanaume aki act hivi.
This is all I wanted to share with you friends! Enjoy your weekend!
0 comments:
Post a Comment