MREMBO KANITEGA NIKATEGEKA NA KUMSALITI MPENZI WANGU...WOTE WAMEDATA NA MIMI, NIFANYAJE JAMANI?


Mshkaji wangu mmoja kwa jina la PAUL anaomba ushauri,naomba mnisaidie kumshauri.Paul amekumbwa na mkasa mzito kidogo,ana msichana aitwae Anna ambae walikutana mwaka jana mwezi wa nne na wakaanza mahusiano ya kimapenzi,msichana huyu alikua nae kwenye kikundi cha kusaidiana ambacho Paul ni mwenyekiti.

Kufikia mwez wa tano mwaka huu msichana mwingne aitwae Rose akatokea kumpenda sana Paul,pamoja na kuwa na penzi la dhati kwa Anna jamaa akajikuta ananasa pia kwa Rose bla kumwambia ukweli kuwa ana mtu,so akawa anamiliki waschana wa2 ndani ya kikundi kimoja.

Siku moja akaamua kumwambia ukweli Rose kuwa kabla hajawa nae alishakua na mwngne,Rose aliumia sana coz alimpenda sana Paul bt hata baada ya kuujua ukweli na kumjua mschana wa Paul Rose hakutaka kuachana na Paul,na anasema atampenda maisha yake yte.
Paul anampenda zaidi Anna na alitaka kumwambia ukweli kuwa alimsaliti kwa Rose bt anaogopa anaweza kumpoteza Anna.Pia kashamzoea Rose kiac kwamba nae hatak kumpoteza.Kwa sasa yupo nao wote bt itafka wkt lazma aamue.Je Paul afanyaje?

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini