
Katiba ni mwafaka wa kitaifa. Kitendo
cha CCM kuweka msimamo wa Serikali mbili kwenye muundo wa Muungano
kinaua kabisa maana ya kuwepo na mjadala. 'Caucus' za vyama kwenye kazi
nyeti kama ya kuandika katiba ya nchi iwe marufuku. Kuna kundi lina
lengo la kuzuia katiba Mpya kupatikana. Kwa vyovyote vile lazima
tuwashinde wapinga mabadiliko hawa kwa kuunganisha nguvu za wananchi.
Tusirudi nyuma
"Forward ever, Backward never" - Nkrumah
"Forward ever, Backward never" - Nkrumah
0 comments:
Post a Comment