MAKAMU BALOZI WA ZAMBIA, WAFANYAKAZI WA TIGO WASHEREKEA MWAKA MPYA NA WATOTO YATIMA‏

Baadhi ya wafanyakazi kampuni ya simu Tigo  toka tawi la Mlimani City wakiwa katika picha ya pamoja na watoto yatima toka kituo cha Islamic orphans home care kilichopo Mbweni wilaya ya Bagamoyo ambapo walipata chakula cha mchana na kutoa baadhi ya misaada kwa ajili ya watoto hao wanaolelewa katika kituo hicho wakishiriiana na makamu balozi wa Zambia Bi Elizabeth Phill.
Watoto yatima wakipata chakula pamoja na makamu balozi wa Zambia Bi Elizabeth Phill na wafanyakazi wa Tigo toka tawi la Mlimani City.
Mmiliki wa kituo cha watoto yatima cha Mwandaliwa Islamic orphans and Homecare Bi Halima Ramadhani akiwa na mmoja wa watotoyatima wanaotunzwa na kituo hicho.
Mmiliki wa kituo hicho cha watoto yatima Bi Halima Ramadhani akiwa katika picha ya pamoja na makamu balozi wa Zambia na wafanyakazi wa Tigo.
CHANZO NI MWANAHARAKATI MZALENDO

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini