Muna (kushoto), akimlisha keki kwa staili yake nduguye Mainda.
Muna akikata keki tayari kwa kuwalisha waalikwa.
Mainda (kulia) akimsaidia Muna kugawanya vipande vya keki.
Keki ya Birthday hiyo.
Mtangazaji wa Clouds TV, Casto Dickson akilishwa keki.
Mtangazaji wa Times FM, Fadhiri Haule akilishwa keki.
Mmoja wa waalikwa Fatuma Kitasa akilishwa keki.
Msanii wa Bongo Movie, Davina (kulia) akilishwa keki hiyo.
Msanii wa Bongo Fleva, Control Boy akilishwa keki.
Rafiki kipenzi wa Muna akijichana kwa keki.
MSANII wa Filamu Bongo, Rose Peter ‘Muna Love’, usiku wa kuamkia leo
alipata fursa ya kuwaalika baadhi ya marafiki zake na kuinjoi nao kwenye
sherehe ya kuzaliwa kwake iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Nyumbani Lounge
Kinondoni jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment