Sisi ni wanafunzi tunaishi kwenye hostel moja mchanganyiko wasichana na
wavulana sasa kuna binti mmoja ambaye mara kadhaa huwa nakutananae
kwenye korido nikiwa naenda kujisaidia, nilishawahi kukutana nae akiwa
anatoka chooni na mimi naingia nakumbuka siku hiyo alikuwa amevaa
kipensi kifupi sana na sidiria tu.
Kama wiki tena iliyopita mimi
nilipofungua tu mlango wa chumbani kwangu kuelekea chooni alitoka na
yeye akiwa amevaa kanga moja tu sidhani kama alikuwa amevaa hata chupi,
sasa ya juzi ndio ilikuwa kali, nilipofungua tu mlango wangu majira ya
kama saa sita hivi usiku nilikutana nae uso kwa uso akiwa amevaa nguo
laini yenye kumuonyesha hadi upande wa pili. kwa kweli nili shuhudia
kila kona ya umbo lake,Nilipo muona nilishtuka hadi yeye mwenyewe pia akanishangaa, akaniuliza
vipi Dav? nilimjibu aisee wewe ni mrembo daah. nikamuambia hebu nisubiri
kidogo hapo hapo, niliiingia ndani nikatoka na simu nilimuomba kumpiga
picha , huwezi amini yule binti alikubali, nikamtwanga picha, yani wala
hakuona kama ni big deal, akaniuliza umemaliza. nikamuambia basi
inatosha.huku yeye akiwa anatabasamu. Aliingia ndani , kwakweli
aliniacha nimepigwa na butwaa. sikuweza tena kwenda chooni hata mkojo
wenyewe pia ulikata nilirudi tu ndani nikalala. daaahh Hostel hizi
jamani yani kama hujapitia maisha ya chuo kwakweli umepitwa sana..!!
0 comments:
Post a Comment