Msanii wa filamu na mjane wa marehemu Sajuki, Wastara Juma, akipozi katika Red Carpet ya Dar Live usiku wa X-mas.
......Wastara
akiwa na rafiki yake Bonda, Mtangazaji wa televisheni ya Channel Ten.
Pichani chini akiwa na mashabiki wake mbalimbali waliobahatika kupiga
nae picha.
Msanii na Director wa muvi bongo, Mahsein Awadh 'Dk. Cheni', akipata picha katika red carpet ndani ya Dar Live. Pichani chini akipiga picha na mashabiki wake mbalimbali...
Mwigizaji mahiri nchini, Mahsein Awadh 'Dk. Cheni' akila pozi na mashabiki wake mbalimbali katika red carpet ya Dar Live.
Mwana Hip Hop Joh Makini kutoka Kundi la Weusi akipozi na mashabiki wake Dar Live.
Mmoja kati ya mashabiki kibao wa Dar Live aliyepata nafasi ya kupiga picha kwenye Red Carpet.
0 comments:
Post a Comment