DIAMOND KUWASOMESHA WATOTO WATATU WALIO SHINDA KUCHEZA NGOLOLO


Mmoja ya watoto watatu walioshinda kucheza ngololo.management yangu ya WCB itawasomesha miaka yote waliyobakiza shuleni ikiwa ni pamoja na kuwahamishia katika shule zilizo bora zaidi....Ahsanten sana Daresalaam kwa ushirikiano mliyonipa jana ....

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini