MTALAKA WA JOYCE KIRIA AFUNGA NDOA

Joyce Kiria.
MTALAKA wa mtangazaji Joyce Kiria, Nelson Nkongo ‘DJ Nelly’ amefunga ndoa na mwanamke mwingine aliyefahamika kwa jina la Elinda ‘Aika’. 
Mapema wiki hii, picha za wanandoa hao zilizagaa kwenye simu za mastaa mbalimbali huku wengi wao wakimpongeza Nelly kwa kuchukua uamuzi huo wa kuvuta jiko lingine baada ya kumwagana na Joyce mwaka 2011.
“Tunampongeza Nelly kwa kuwa hakukurupuka kama wanaume wengine ambao huwa wanaamua kuoa haraka, kwa vyovyote atakuwa amechunguza sana ili kumpata mke mwema,” alisema Linda wa Dar.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini