BINTI MWENYE NYWELE NA SURA YA KIUME ASIMULIA CHANGAMOTO ANAZOKUMBANA NAZO


 
Queen ni mtoto wa 4 kati ya familia ya watoto 5. Ni msichana mzuri na mrembo kimtazamo, lakni tatizo kubwa linalomkabili maishani mwake ni nywele ambazo zimekuwa zikimfanya aonekane kama mwanaume..... 


Akiongea na Domo Langu kwa njia ya mtandao, Queen amesimulia kuhusu changamoto anazokumbana nazo kutokana na tatizo hilo. 

 "Nimerithi hizi nywele toka kwa mama yangu na zilinianza nikiwa na miaka 21. Kadri miaka ilivyozidi kusonga mbele, tatizo hili lilizidi kusambaa mwili mzima. 
  "Mwanzo nilikuwa najisikia vibaya sana maana watu walikuwa wakiniona ni kiumbe wa ajabu, lakini baadae nilizoea na ikanilazimu nikubaliane na ukweli.... 


Akiongelea kuhusu changamoto za kimahusiano anazozipata ,Queen alikuwa na haya ya kusema: "Sijabahatika kuwa na mwanaume wa kudumu, wengu hunikimbia kutokana na hali  hii"  

<< KUONA  PICHA  ZAIDI  NA  USHAURI, BOFYA  HAPA

Kwa  picha  zaidi  za  binti  huyu  pamoja  na  ushauri, bofya  hapo  juu.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini