Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu.
SIKU chache zimekatika tangu kusambazwa kwa picha feki
inayodaiwa ni ya mama wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Mariam Sepetu,
wawili hao wako kwenye mkakati mzito wa kuwasomea kisomo cha Albadili
wale wote waliohusika kwa namna yoyote ile kuitengeneza picha hiyo na
kuitupia mitandaoni, Risasi Jumamosi linakumegea....