Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford akipozi.DUH! Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa anakiona kifo chake hivyo anawaomba msamaha aliowakosea na kuwasamehe waliomkosea.
Akistorisha na gazeti hili, Shamsa alisema ameamua kuanza kujisafishia njia kwani yeye ni binadamu na umauti unaweza kumkuta muda wowote hata kama akiwa mzima.
“Ninaomba msamaha kwa wote niliowakosea kwani mimi ni binadamu najua muda wowote nitakufa hivyo lazima nijiandae kwa ajili ya maisha ya huko tunakoelekea,” alisema Shamsa.
0 comments:
Post a Comment