PREZZO AONYESHA VIATU VYA THAMANI ALIVYONUNUA KWA DOLA 995, SAWA NA SH 1,622,844 TZS!


Prezzo kama ilivyo kawaida yake kujishow off ..leo amepost picha akiwa amevaa viatu vipya aina ya Giuseppe Zanotti  ambayo gharama yake ni dola 995 za kimarekani , ukibadilisha kwa hela ya Tanzania ni kama Milion moja na Laki sina na ushee hivi.....
 
 
-Regina Iwole

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini