MWIGIZAJI BOB HOSKINS AFARIKI DUNIA


Robert William 'Bob Hoskins' ndani ya filamu ya Who Framed Roger Rabbit (1988).
Bob Hoskins enzi za uhai wake.
MWIGIZAJI maarufu wa Uingereza, Robert William maarufu kwa jina la 'Bob Hoskins' amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71 kwa ugonjwa wa Numonia 'pneumonia'.
Baadhi ya michezo na filamu alizocheza marehemu Bob Hoskins ni: Cockneys and gangsters, The Long Good Friday (1980), Mona Lisa (1986), Who Framed Roger Rabbit (1988), Mermaids (1990), Hook (1991), Nixon (1995), A Christmas Carol (2009), Neverland (2011) na igizo lake la mwisho ni katika filamu ya Snow White and the Huntsman (2012).
Bob Hoskins alistaafu kucheza filamu mwaka 2012 baada ya kuugua.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini