
Wiki iliyopita nilikuwa naongea na
mzungu fulani hivi katika maongezi yetu anadai eti wakina dada wa
kibongo mnawashobokea sana mkiwaona na wengine wanawaomba wazungu hao
wazae nao,je nikweli kwamba dada zetu?????japo hata mm nilishuhudia demu
alikuwa ameongozana na jamaa alipomkuta mzungu fulani anayemfahamu
mbona jamaa aliachwa.............vipi wadau juu ya shobo za dada zetu
kwa watasha hawa ambao wana rangi tofauti na zetu
0 comments:
Post a Comment