Nasibu Abdul ‘Diamond’.
BABA wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Jumaa
amefunguka kuwa mwanaye huyo siyo riziki yake kwani hana dalili zozote
za kumjali kama mzazi.
Akistorisha na gazeti hili, mzee huyo alisema kwa sasa hataki
kumzungumzia kabisa Diamond kwa sababu alishamtumia ujumbe kwamba
anatakiwa kubaki kama baba tu na si vinginevyo.
'Mshua' Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Jumaa.
“Sitaki kumzungumzia Diamond kabisa kwa sababu nitaonekana
najipendekeza kwake kwa sababu ameshasema nibaki kama baba tu, naona
siyo riziki yangu,” alisema baba Diamond.
Alipoulizwa Diamond kuhusiana na maelewano hafifu na baba yake, alijibu: “no comment.”
Alipoulizwa Diamond kuhusiana na maelewano hafifu na baba yake, alijibu: “no comment.”
0 comments:
Post a Comment