WAREMBO WA DAR WANAZIMIKA SANA NA MACHALII WA ARUSHA

Kichwa cha habari kinahusika.Sio siri warembo wengi wa Dar es salaam wanazimika sana na machalii wa Arachuga wengi wakitoa sababu zifuatazo:
1.Machalii sio mashalobalo ni wachapakazi kuanzia kwenye kusaka faranga mpaka kitandani.
2.Machalii wanajiamini sana na sio waoga hivyo usalama kwao mia mia.
3.Machalii hawana shobo na ulimbukeni.
4.Machalii wako wawazi sana na wanachukia mambo ya kunatanata na ushoga.
5.Lafudhi yao maridhawa na hawana mambo ya kiswahiliswahili.
Na kuendelea watatiririka wenyewe hapa mademu wakali wa mjini wa Bongo Dar es salaam.
Mliowahi kuishi Dar na Arusha mtakuwa mashahidi wa yote haya imefika hatua mpaka baadhi ya vijana wa Dar wanadanganya wanatoka Arachuga ili kukamata kirahisi mabebiz wakaleeeeee.Karibuni mteme cheche za moyoni..!

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini