WANAWAKE JARIBUNI KUBADILIKA


Kama kawaida Nimekuwa nikifanya uchunguzi kwa nini wadada wengi wamekuwa wakifanya haya wanayoyafanya kuanika Picha za maumbo yao na kuanika sehemu nyeti hadarani??... Hawa dada zetu hasa waliopo vyuoni wamekuwa wakifanya biashara hii ya ukahaba kupitia Mitandao ya kijami i hasa Facebook kwa kutupia Picha zizokuwa na maadili ya kitanzania. Lakini kikubwa ni kwamba wadada hawa wanatafuta mabwana kinguvu huku mitandaoni.. kwa minadi yakuwa Mikopo ya chuo haitosh..
Onyo kwa Vijana wote wa kiume chukueni Tahadhari na hawa walimbweni maana si kingine wanachosambaza bali ni Ukimwi. 

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini