Ivi
ikitokea mkeo kasafiri,siku moja unaamua kufanya usafi unaamua kumfulia
nguo zake unapochukua mfuko wa nguo zake chafu unakuta DAWA ZA KIENYEJI
mbili tofauti zikiwa zimefungwa na kufichwa chini kabisa,unahamaki na
unaamua kumwita mtaalam wa tiba za asili,Mtaalam anakufahamisha kua dawa
moja ilikua uwekewe kwenye maji ya kuoga na nyingine kwenye
chakula,mala baada ya kutumia kile atakachotaka ndicho
utakachofanya...Mke wako akirudi utamfanyaje?
0 comments:
Post a Comment