![]() |
Kadri Mbinu zao zinavyozidi kujulikana ndivyo na wao wanavyobadili mbinu na kuja na New Models za kufikisha Ujumbe
WANAITWA WANAWAKE
Ile style yao ya Bebi naomba Laki 3 nna shida ntakurudishia after 1 week ilifeli..Ikaja ya Baby naomba Laki 1 ya Saluni nayo ime-expire...SASA WANA MUPYAAAA,Bado inanukia Upya kama Telegram...
Unakutana na demu,baada ya kuanzisha uhusiano mpya Wiki 2 tu anakupiga kibomu kitakatifu anakwambia ''Birthday yangu imekaribia halafu sina Hela..Ukimuuliza lini Bday yako anakwambia This Weekend Baby..Unamwambia sawa.Ukizingatia ndo mmeanza-anza hata uvungu hujapewa,kila kitu unajibu Yes kama Questionnaire ya uchumba.

Profile yake
ya Facebook inaonyesha Birthday yake ni November 22....Birthday
aliyokupiga mzinga ni February 15..Sasa unajiuliza huyu mwenzetu ana
Birthday 2 kwa Mwaka??
Na ukimpa hiyo hela hata Birthday hutaalikwa,utaambiwa tu Baby,Ndo naenda kwenye Birthday tunafanyia huku kwa Bamkubwa huku Area c, tuko na shangazi yangu wa Hombolo na Wajomba zangu wale wa Ihumwa wamekuja.
Ukitajiwa Bamkubwa hutakuwa na hamu hata ya kwenda.MZINGA SUCCESSFUL HAPO.
Na huo mzinga
wa Birthday anakuwa kawatumia SMS Wanaume kama 20 hivi,10 wakimpa hata
kilo kilo,tayari ana M2, unashangaa demu hana kazi,ndo anasubiria
majibu ya Form 6 lakini ana Note 3 mpya,we unakazana kunyonga tai
kurukia dala dala deile na kikwapa juu na mshahara wako wa benki,wewe
una Nokia Asha button zimechokaaaaaa
ENDELEENI KUTUKOMESHA....Demu una Birthday 3 kwa mwaka?mi nakuchora tu,au mwenzetu ulizaliwa kwa mafungu,February Kichwa...June Kiwiliwili...November Miguu
hahahaha
0 comments:
Post a Comment