STEVE NYERERE: SAUNDI ZITANIPA UBUNGE

Steve Nyerere.
KOMEDIANI maarufu na Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amesema anatarajia kugombea na kushinda ubunge 2015 bila kutumia fedha.
Akitema madini mbele ya kinasa sauti cha Ijumaa Wikienda mwishoni mwa wiki iliyopita, Steve alisema atagombea kupitia Jimbo la Kinondoni, lakini ieleweke kuwa hatotumia fedha katika kampeni zake.
“Saundi (maneno) ndiyo kila kitu, ukiongea na watu vizuri na wakakuelewa, hakuna kitakachoshindikana, nitaibuka na ushindi mzito tu, vuteni subira watu wangu,” alisema Nyerere.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini