
Huwa siko huru kabisa ninapokuwa na
mpenzi wangu club, kwanza kuna wakati naona kama namkosea heshima vile
nikisalimiana na wasichana wengine anakosa raha, mara ananiambia
amechoka anataka kurudi nyumbani halafu hapo ndio kwanza club pamenoga,
alafu sisikii raha nikicheza nae napenda kucheza na mtu simjui najiachia
mpaka, naona Bora niwe nimuache tu kiroho safi. Au vipi wadau..!
0 comments:
Post a Comment