Naona Aibu Kusema ila Inanibidi kusema Mimi Mi msichana wa Makamo tu
nina tatizo moja ambalo limenianza ukubwana yaani Sipati Usingizi Usiku
bila kufanya na Mwanaume yaani imefikia hadi huwa naita vijana majirani
zangu nawapa uroda bure tu ili nipate usingizi, tatizo hili limenifanya
nionekane malaya nahama mtaa kila siku na sijabahatika kupata boyfriend
wa kudumu....Je nifanye nini Niache hii Tabia ....Najionea Huruma Jamani
0 comments:
Post a Comment