Sintah akiwa kwenye pozi la aina yake.
Baada ya Sinta Kupost Instagram akimshukuru Boss Lady Zari wa Uganda na
watu kuanza kuanza kusema anajipendekeza na kuwa hana hadhi ya Zari
Sintah aliamua kuwajibu hao baadhi ya watu kupitia Blog yake na katika
majibu hayo amegusia kuwa subiri tumuone kwenye Jumba la Big Brother
Africa ..na Kwamba alimwambia Zari See you Soon akiwa na maana wataonana
kwenye Jumba Hilo.....Jisomeee hapo chini Mwenyewe na Ujumlishe na
Kutoa kama ndio hivyo navyohisi mimi.....

"Kadiri ninavyokuwa ninaamini adui ya mwanamke ni mwanamke aisee,ila
kuna kaboy kamoja sijui ni kenyewe ama kametumika kama chambo hapo sasa
hawa ndio wanaanzia utotoni ku comment ujinga hivyo, daah jana i had a
long talk wit Zee over the phone, of course was down she was trynaa to
cheer me up, hee nikajisikia tu kumuweka kama my friend ona akili
nyingine za wasiojielewa zilipotokea ooh huwezi kufanana kama yeye kwani
nilikuwa najifananisha? ooh kwakuwa tajiri kwahio matajiri hawana
marafiki na je atazikwa na mali zake? mnamkuza dada wa watu wala hana
shauwo kihivyo mwenye nacho anacho tu, sio wale wakipata matako hulia
mbwata......
yaani watu wengine mnataka tuwanike whatever we do in Social Media my dear some of us, went to school and learn Ethics in Diplomacy, hapa nimeandika coz naingiza hela nilikwambia nitukane IG,fb, Twitter siwezi kukujibu hapa nipo kama sintah na kule nipo kama Christine John Manongi
kama unaona nafaidi angekuita wewe Ug n you know what i never slept in the hotel nimeishi kwao na wazazi wake of course is not something to be proud of ndio maana nilinyamaza
sasa wewe unaeonekana kituko maana baada ya kuona ule upuuzi ambao mlio comment auone dada wa watu aliniuliza whats wrong with Tanzanians? maana anakijua kiswahili fika nikamwambia those are small minds pipo they think i benefit alot from you
sasa wewe unayeyaona maisha yake kwenye IG subiri na mimi unione ktk jumba lile la Big bro soon SA, ndio maana nilimwambia see you soon, take note ..... Cheers ukipata maumivu meza Hedex
kwa kifupi mmejichoresha mlio comment utumbo kawaona hamna akili kweli eti najigonga angekuwa anakupigia wewe simu basi unatamani sana lolest " SINTAH

0 comments:
Post a Comment