SIJUTII KUZALIWA MWANAMKE, NAHONGWA SI HONGI, SI PIGI NAPIGIWA!

Hata Sikumbuki mara ya mwisho lini kununua Vocha...Nikiguna tu vidume vinanitumia vocha wala siombi .....Nahongwa mie Babu eeehh Mimi Sihongii....Sijutii Kuzaliwa Mwanamke..Raha tupu

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini