SHAMSA ATOA ONYO KALI KWA WANAWAKE WANAOJIPENDEKEZA KWA MUME WAKE


Mwanadada anayefanya poa Bongo Movies, Shamsa Ford amewataka wanawake wanaomfuatilia mumewe, Dickson waache mara moja.


Shamsa alisema, anakerwa sana na tabia ya wanawake wanaomfuata mumewe kwani hata wale wa ‘zilipendwa’ wameanza kujirudisha upya kitu ambacho hatakubaliana nacho.

“Hawa wanawake hawana adabu wala aibu, ninawatahadharisha tu, wakae mbali na mume wangu kabla sijawaanika hadharani kwenye vyombo vya habari, kwanza hawawezi kufanikiwa, najiamini.”

@ QPL

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini