
Tupigane msasa kidogo, mimi nilijua kwa mtu kumnyima mwenzake penzi
sababu ya msingi sana ni ugonjwa au kuwa katika hedhi kama ni mwanamke.
Cha ajabu mtu aumwi wala hayupo kwenye hedhi halafu anakataa tendo, eti
sababu hajisikii??!! Au akili yake haijatulia eti. Naomba tujuzane ili
tusihisi kuonewa, sababu za msingi za mtu kushindwa kushiriki tendo ni
zipi? Isije ikawa mtu katoka kuchepuka.
0 comments:
Post a Comment