
Mchumba wng nimeishi nae miaka takriban 11 toka yuko form 1 mpk kumaliza
chuo,, nilikua nae Moro kwangu kwa miez takriban 3 nilimuona cm yake
bize muda wote anapokea cm za watu tofaut tofauti ziczosaviwa
waktambuana utackia uko wp mara nyng hujb hom akimaanisha Singida
alipokua akisomea toka form 1 had 4 nakuish hapo ktambo kwa walezi wake
na wengne kumuulza unakuja lin weng wao wakiwa Mwanza kwa wazaz wake na
wengne Shinyanga alipokua akisomea chuo cha utalii mara nying aliwajb
mwez ujao nakuja ila nilikuja mgundua jamaa m1 alikua bwana ake kipind
me nimeondoka Singida kuja moro kusoma toka 2008 mpk this yr alikua nae
tena alimpenda sn coz kimaisha alikua jamaa kishafanikiwa ana migari na
mijumba me bado napanga kichumba k1,,,nilimmaind sn nkamuulza vzuri
nkamwambia km unataka kua na mie chagua 1 lumuacha huyo fwala ako mpgie
cm ryt nw umweleze jamaa akawa hapokei akamtumia sms jamaa akaumia sn
miaka ming kaish nae akawabanajua ndo mke wke na kumtambulisha kila
mahali na kamhudummia sn coz dem hana kitu wala kaz,,nikachukua cm kuona
majib ya jamaa ucku mzma jamaa hakulala anatuma malalamiko me
nayasoma2,,hapo ndan hapalalik kila m1 na upande wke,,baada ya hilo dem
alionekana kumaind sn coz jamaa huduma,,baadae akataka tuwapgie na wa
kwang nlokua nao chuo akamaind nkamwambia me hajaona hata cku 1
wakinsumbua nmeAchana nao kiukwel toka moyon na ukwel uko waz anajua,,
baada ya hayo alianza kusema maza wake kagundua hayuko kwa walez wke
Sngd hvyo anamtaka arud Mwz kuhani mamdogo ake alifiwa na mmewe kweli na
mie niliendaga kumhan ila yy hakwendaga kwel,,,maza akawa anasumbua
daily had akawa anazma cm ila nkagundua maza hatak awe kwang kabla ya
Mahal,,baadae nilimtafutia naur akapanda bas safar ya Mwnz,,ila ujue dem
ni mkali hatari ndo maana nilikua mdogo sn smtm,,kaondoka ila ckumuona
km anadalil za kunimic anapoondoka akaomba vocha nikamjazia cm zOte
mbili nikampa angalzo aczme cm tuwacliane mpk mwisho uzur cm zote zna
chaj na vocha akasema poa,,nimakuomba cm ya maza ake kdogo wa kilimahewa
atakae Tokea ucku Akazugazuga hakunpa wasiwas bnafs ukaanza,,maana
anatakiwa aende kayenze kwa mamdogo ake kuhani ila kwa vile atafika ucku
saa 5 0 6 atalala kwa Mamdogo ake wa kilimahewa asbh ndo aende kayenze
ila ilipofika saa mbili akanambia wako Misungwi nkapa waswas baada ya
nusu saa akasema mamdogo ake wako tayar nyegez wanamsubil na kudai
washafika akazma na simu,,,wasiwas ukajaaa maana Moro wameondoka saa
tano Mwanza wangefika kuanzia saa sita huko,,nimekesha napga cm
haipatkan tena zote mbili na cm ya mamdogo ake wa kilimahewa cna ndo
nkachoka zaid kesho yke asbh napga tena hakuna kitu nkampgia mamdogo ake
lika lake wa kayenze ambaye mdogo wa yule alofiwa akanambia alisema
analala kilimah huku hajafika bado nimemsumbua yule mamdogo mpk kwny saa
Kimi hv naona micdcol ya mamdogo ake napga ndo ananambia anafika wakati
umbali wa mwaza na kayenze ni lisaa2 namuulza kwa nn cm zake hazpatikan
ananijb znapatkana ss hv ,,alilala wp anajb kwa madogo ake nikamaind sn
axee kwa mtililiko huyo nkajua kashansariti kwa wale alokua anawajibu
nakuja mwezi ujao nkafikilia kwa nn afanye hvyo kwan me co kijana juzi
kuna demu langu nilisoma nalo chuo Dom lilikua liknsumbua coz ni zur sn
na lilikua linagombaniwa na malecturer liko hapa mzumbe ckua hata na
shida nalo coz nilijua tayari ninamke hvyo ntulie, akanpigia cm kuniulza
km niko ofcn o wp nkamwambia aje2 nipo ofcn akaja anatafuta mtu
wakumsaaidia kupata passport nikampgia jamaa ang m1 tukayaweka sawa ila
alivyokua amevaa akanitia minyege na bahati nzur ofcn hakukuwa na watu
wengi cku hyo nikambambia tukakzdiwa wote tukapanga tender geto
akakubali ila akanpa shart kwamba twende tumpelekee beki 3 wao mboga coz
wako hom yy na huyo bek 3 nkakubal tukiwa kwny gar nikwawa najiulza kwa
nn nitende yote hayo kisa malipizi roho Ikaniuma sn nkachenjika
nikaanza muomba Mungu aweke kikwazo kweli kufika kwao mtoto akaanza
nambia tusubili msosi uive ndo tule tuondoke nikakubali ili tupoteze
muda, moyon najiulza pakumpeleka ila nifkir geto naona km ntakuwa
namzalilisha mke wng niksema lodge nako kwa nini userit wa malipizi roho
ikaniuma na kuamua kuaga kwa lazma kna kucngizia naitwa na mshua kuna
zarura hom tukabshana pale ila tukakubaliana na kuahidi kesho
yke,,,ikawa imetoka hyo,,ila nahc cku hyo tunged0 czan km hata bao
lingetoka nilihic km ningechanganyikiwa
0 comments:
Post a Comment