RIDHIWANI KIKWETE ASHINDA KATIKA KURA ZA MAONI CCM KUWANIA KITI CHA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE

 
 Wanachama  wamemaliza  kupiga  kura  za  maoni  katika  jimbo  la  Chalinze  kumchagua  mgombea  wa  CCM...

Matokeo  ni  kama  ifuatavyo:


Ridhiwani Kikwete ameshinda kwa kupata kura 758 kati ya kura 1321,

Ilikuwa hivi:
1.Ridhiwani Kikwete kura 758
2.Shaban Iman Madega kura 335
3.Athuman Ramadhan Maneno kura 206
4.Changwa Mohamed mkwazu kura 12
Kura zilikuwa 1363 zilizo Haribika 5 na Halali ni kura 1316
 

Wagombea wa Ubunge Chalinze kwa tiketi ya ccm walikuwa ni:-
1.Ndg.Ridhiwani Kikwete,
2.Shaban Iman Madega,
3.Athuman Ramadhan Maneno
4.Changwa Mohamed mkwazu
 
Tarehe 9/3/2014 KUCHUKUA FOMU

Tarehe 11/3/2014 KURUDISHA
Tarehe 15/3/2014  UZINDUZI RASMI WA KAMPENI ZA CCM





Ndg.Ridhiwani Kikwete Mgombea wa ubunge katika Kura za Maoni za CCM jimbo la Chalinze akijipigia Kura muda huu



 

(Habari   hisani  ya  Jamiii  Forums)

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini