PICHA YA LULU NA STAA WA MOVIE NIGERIA YAZUA MANENO MENGI NCHINI TANZANIA

1d
                          Lulu na mnaiGeger.
Waigizaji hao, hii ni picha ambayo lulu amepiga hivi karibuni na kuzua gumzo miongoni mwa wapenzi watasnia ya filamu hapa nchini,, picha hii ina mwonyesha lulu kuwa mwenye furaha na anaonekana alienjoy pozi hilo na msanii huyo.

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini