
Mimi ni kijana wa Miaka 21 , Na umri wangu huu mdogo lakini nimesha
experience vitu vingi katika mapenzi...mwanamke wangu wa kwanza alikuwa
na miaka 41 mimi nikiwa namiaka 19, toka kipindi hicho mimi nimekuwa
nikipenda wanawake wazima wenye umri mkubwa...na cha ajabu kila
nikiwatongoza wanakubali wengi wao ni wake za watu ...Sasa imenikaa
akilini nikimpata msichana mdogo siridhiki kabisa na mwishowe namuacha
natafuta Mwanamke aliye nizidi umri...Tatizo wengi wao wameolewa sasa
tunafurahishana tu alafu wanawahi kwa wanaume wao..Naombeni ushauri..Je
nifanyenje hizi feelings za kupenda majimama ziiishe?
0 comments:
Post a Comment