
Admin pamoja na wana bongonewz wote naomba ushuri wa dhati
kutoka kwenu kiufupi iko hivi,nimepata kazi katika ofice fulani hapa dar na ni
muda wa miezi 6 tu toka nianze kazi hiyo..kwa kweli namshukuru mungu inanilipa
vizuri sasa kama unavyojuwa hapa mjini mambo ni mengi hadi kufikia muda wa
kurudi nyumbani ni usiku sana kiasi kwamba dada yangu alipokuja kunitembelea
wiki moja iliyo pita alinihurumia akaniletea huyu binti ila namtamani
miye nipeni ushauri wadau!!
0 comments:
Post a Comment