Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya ambaye
huwa anaishi na kufanya Kazi nchini Uingereza Naj amefunguka kuwa Tangu
aachane Mr Blue zaidi ya Mwaka mmoja na miezi kadhaa iliyopita hajawahi
kukutana na Mwanaume na wala hajawahi kumpenda mwanaume yeyote, Naj
amefunguka hivi karibuni kabla hajaelekea U.K akaendelea kunitiririkia
kuwa alikua na Mr Blue kwa miaka mitano na ikaishia kwa yeye kukimbiwa
na Blue akamkana hadharani na kuanzisha mahusiano na mwanadada mwingine
hali iliyomhuzunisha na kujutia muda wake, Naj akamalizia kwa kuniuliza
Je angeutumia muda huo kwa kupiga kazi si angekua mbali sana? kwa hiyo
sasa hivi anacho angalia ni kazi tu kwa kwenda mbele, yuko
singoooooooooooooo
0 comments:
Post a Comment