NAHITAJI MWANAUME WA KUNIOA


Jaman nipo serious, cyo mzaha! Nahitaji mwanaume anayefaa kuwa mume kwa maana ya kujali na kutunza familia na mwenye mapenz ya kweli.

Sifa: umri 30-35, elimu atleast six na kuendelea, awe mwajiriwa au anayejishughulisha ku-generate income, mkristo mkatoliki, mrefu na cyo mnene sn, awe tayar kuchek afya na acwe na mtoto, acwe mweupe na pia awe mwaminifu.

Sifa zangu: umri 27, degree holder, mwajiriwa, mnene kiac, cyo mweupe wala mweuc, cyo mrefu wala mfupi. Mwenye cfa na aliye serious awache number yake ama e-mail, no jokes plzzzz!!!

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini