Awe na sifa zifuatazo:
1. Awe mkristo
2. Awe graduate
3. Awe na umri sio zaidi ya miaka 32
4. Awe tayari
kupima afya
5. Awe mfanyabiashara au mwajiriwa
5. Awe mrefu wa futi
6. Awe anajitambua kuwa yeye ni nguzo ya familia
Aliye na sifa hizo
aacha number ya Simu ma E-mail yake kwenye comment ntamtafuta kwa muda
wangu
0 comments:
Post a Comment