
Nilikuwa na mpenzi tuliyedumu miaka sita,bahati nzuri nilipata ujauzito
na
nikazaa salama,issue inakuja baada ya kuzaa nilifahamu kuwa jamaa kuna
mwanamke kamzalisha pia na watoto wetu wamepishana miezi 2.niliamua
kuachana nae na sasa mtoto anamiaka mitatu na hajawahi kumhudumia,cha
ajabu mwanamke wake anani2kana sana na huyo mwanaume anatangaza kuwa me
namuomba matumizi ya mtoto while iz not true.plz nisaidien niwajib nini
hawa
watu coz kla cku ni msg za matusi...Mimi Simtaki Tena Natafuta Mtu
Mwingine anaye Aleweka Ambaye Tutapenda..Japo tayari nina Mtoto Mmoja.
Credit: Mapenzi Raha
0 comments:
Post a Comment