Hivi unakuwa na nia gani unakubali
kupigwa picha kama hii kwa mkao huu tena ndani ya Ofisi.na Kuamua
kuiweka Mtandaoni huku si kujidhalilisha na kuwafanya wale waliokupa
mamlaka ya wadhifa ulionao ndani ya ofisi hiyo kuwafanya walikosea
kwakuwa akilizako si timamu na hukupaswa kuwepo hapo
Jamani wanaweke/wakina dada kuweni na mawazo pindi mfanyapo vitu vyenu. Kiukweli kwa sasa Tumewachoka na hii hali.
Jamani wanaweke/wakina dada kuweni na mawazo pindi mfanyapo vitu vyenu. Kiukweli kwa sasa Tumewachoka na hii hali.
0 comments:
Post a Comment