MPENZI WANGU HANITAKI TENA BAADA YA KUNIPA MIMBA, JE NIFANYAJE??

Nina mpenzi wangu, toka tuanze mapenzi sasa ni mwaka umepita na sasa nina ujauzito wake, toka ajue hilo ameanza kunikwepa hata simu hanipigii wala kuja kwetu haji kama ilivyokuwa zamani na kabla sijapata huu ujauzito alikuwa ananisisitizia kuwa anataka mtoto, sasa jamani mimi sielewa anamatatizo gani huyu mtu. Naombeni Ushauri..!!

By: The ClickTz 




TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini