MPENZI WANGU ANAPENDA KUPIGA PICHA ZA UCHI, JE NIMFANYAJE??


Nimejaribu kumkanya sana bado tu haachi tabia hiyo ya kupiga piga picha, Bora basi hata picha zenyewe ziwe za maana, Picha zake ni shida tupu, yani za utata, unaweza hata ukafa kwa presha ukiziona, ni hatari sana. Naombeni ushauri jamani maana nimeshasema mpaka nimechoka..!!

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini