
Nimemkamata mke wangu na jamaa alafu ananiambia ndio aliye mtoa bikira
eti huwa hamsahau kila wakikutana huwa anampa ..Jamani jamani kuna haki
hapo kweli....Kwani wanawake wote ndo wako hivyo ?wanapokutana na walio
watoa bikira wananyewe kama mbwa kaona Chatu...Ama mchaga wa kishimuda
na we niagushe tuuuu...? Naomba ushauri jamani
0 comments:
Post a Comment