
Mwenyekiti wa Bongo Muvi, Steve Nyerere.
MWENYEKITI wa Bongo Movie
Unity, Steven Mengere ‘Nyerere’ amesema watafanya shindano la kumsaka
mlimbwende wa kundi lao, siku ya sherehe ya kuadhimisha miaka mitatu ya
klabu hiyo ambayo itafanyika Machi 28, mwaka huu.
Akizungumza na Stori Mix, Nyerere alisema, wana imani ndani ya kundi
lao kuna walimbwende wengi hivyo wametoa nafasi ya kuwashindanisha ikiwa
ni moja ya vionjo katika siku yao hiyo muhimu.
0 comments:
Post a Comment