Kaimu
Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP-Mtandao), Bi.
Lilian Liundi akitoa hotuba ya kuwakaribisha wageni mbalimbali na
kuzungumza na washiriki wa maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani
yaliyofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment