
ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa kwa sasa hateswi na kumbukumbu ya tukio la marehemu Steven Kanumba kama ilivyokuwa zamani.
Alipobanwa kuhusu kusumbuliwa na Kanumba aliyekuwa mpenzi wake, Lulu alisema:
“Imeshapita muda mrefu sasa, kama binadamu namkumbuka lakini siyo kama kipindi kile, ilikuwa picha ikinirudia mara kwa mara, hata hivyo sipendi sana kuzungumzia haya,” alisema.STEVE NYERERE: LUPITA

0 comments:
Post a Comment