Katika pita pita zangu wale wadada
wanajidai wana misimamo wanapozalishwa na wanaume na kuachwa alone huwa
wanashuka chini na inakuwa rahisi kupiga sound ya kawaida na kuchukua
mzigo ila kipindi kabla ilikuwa hata kusalimia watu ni tabu
kwake.Najiuliza kwa nini hulainika na kuwa na heshima pindi wanapo
kuzalishwa?
0 comments:
Post a Comment