KUITANA "BABY" MWANZONI MWA MAHUSIANO YA KIMAPENZI

http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2013/02/young-couple-in-bed.jpg
Mwanzoni mwa mahusiano watu huitana "baby", "honey" nyingi lakini hupungua kadiri muda unavyosogea. Je ni nini husababisha hili? Je wewe bado unaitwa baby? Na umedumu muda gani kuitwa baby/honey?

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini