KILA MWANAMKE NINAYEMTONGOZA ANANITOSA!, JE NIFANYAJE??..USHAURI PLZ!


Admin mimi nikijana mwenye miaka 21 kila mwanamke naye mtongoza ananikataa.hadi sasa sijalala na mwanamke .ila nakuwa natamani sana kufanya mapenzi nilikuwa naomba ushauri kwa fan  wangu

TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

0 comments:

Post a Comment

Ungana Nasi, Like Page Yetu Hapa Chini