
Nimekumbwa na janga jamani mtoto wa mama yangu mdogo ambaye tume kuwa
pamoja, mpaka hivi sasa ananitaka kimapenzi na tena ameahidi kunioa
endapo nitakubali, pia ameahidi kujiua endapo nitakataa kuwa nae.
Naogopa hata kumua mbia mama yake kwani anaweza asiniamini nashindwa
nifanyaje jamani. Naombeni Ushauri..!!
0 comments:
Post a Comment