Usiku wa jana (February 28) ulikuwa usiku ambao mashabiki wa muziki mzuri huko London, Uingereza waliohudhuria show ya Beyonce walionekana kupata huduma mara mbili ya kile walichokitegemea baada ya Jay Z kupanda jukwaani kuimba Drunk in Love na Beyonce.
Mashabiki hao ambao walikuwa wakimshangilia Beyonce wakati anaimba Drunk in Love, walionekana ‘kupagawa’ na kupiga kelele kwa nguvu zote baada ya baba Blue Ivy kuungana na mama Blue Ivy ghafla jukwaani kuikamilisha ngoma hiyo kama ilivyorekodiwa.
0 comments:
Post a Comment