
MWIGIZAJI
Bongo, Jacqueline Pentenzel ‘Jack Chuz’, amewabwatukia mashostisto zake
ambao wanaomba aachike kwa mumewe Gardner Dibibi, kuwa wanajisumbua
kwani hatoachika.
Akiizungumzia ndoa yake yenye umri wa zaidi ya mwaka mmoja, Jack alisema hata wakigombana huwa wanapatana haraka:
“Najua wapo wanaokesha kuomba tuachane, niwaambie tu, watasubiri sana mpaka watachoka, siachiki ng’o,” alisema Jack
0 comments:
Post a Comment